Kutana na Wafaa, mkunga ambaye alilazimika kuondoka kaskazini mwa Gaza na kuelekea kusini hadi Khan Younis, ambako aliendelea kusaidia akina mama na watoto wao wachanga.
UNFPA inakadiria kuwa kulikuwa na wanawake 50,000 wajawazito huko Gaza mwanzoni mwa vita.
Tangu wakati huo, wengi wamejifungua bila kupata huduma za matibabu au kukosa kabisa.
BBC imetumia siku nzima kukaa na Wafaa na kuangazia maisha yake kwa siku.
#bbcswahili #gaza #israel
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Health Cabinet Secretary (CS) Aden Duale has announced plans to set up a joint committee with the CEOs of insurance companies across the country to tackle fraudulent activities that have been plaguing the Social Health Authority (SHA).
18 Aug 2025
- President William Ruto has vowed to ensure that Members of Parliament and Senators behind an extortion scheme called soko huru are apprehended.
18 Aug 2025
- The death toll from a blast at a gunpowder plant near Moscow rose to 20, with more than 100 wounded, the authorities said on Monday, as a probe began into possible industrial safety violations.