- 4,014 viewsTakriban miaka sita iliyopita, uwepo wa usafiri wa gari ilikuwa ndoto tu katika kisiwa cha Tumbatu kaskazini mwa kisiwa cha Zanzibar. Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012, Kisiwa cha Tumbatu kilikuwa na wakazi 12,000 wanaoishi hapa, lakini idadi ya wakazi sasa inakadiriwa kuongezeka na kufikia karibu 25,000. Na usafiri sasa umekuwa moja ya huduma muhimu zaidi. Bakari Haji Shekha ndiye mtu wa kwanza kuendesha gari kisiwani Tumbatu, anasema miaka minne iliyopita ilikuwa miujiza kwa wakazi wa Tumbatu kushuhudia lori la kwanza la mizigo ambalo pia lilibeba abiria kufika kisiwani humo. #bbcswahili65 #bbcswahili #tumbatu
Tumbatu: kisiwa chenye magari machache sana Zanzibar
- - 🔴LIVE|| NEWS NOW ››
- - Duniani Leo ››
- 1 May 2024 - Rate reviews offer consumers more choice and competitive prices
- 1 May 2024 - Anger at State's delayed help, confusion amid devastation
- 1 May 2024 - At least 34 bodies identified as Red Cross, NYS take lead in recovery efforts
- 1 May 2024 - Pain as families identify bodies of kin swept by raging waters
- 1 May 2024 - Haaland and Kevin de Bruyne asked to be substituted against Madrid in the second leg at Etihad Stadium.
- 1 May 2024 - Gor currently sit pretty at the apex of the topflight log with 57 points, nine better than their closest challengers Kenya Police
- 1 May 2024 - The Stima Club member won the Murang’a tournament title last month.
- 1 May 2024 - The deadline for undertaking all three out-of-competition testing is 4th July 2024
- 1 May 2024 - The film stars Maasai girls breaking cultural barriers to play basketball
- 1 May 2024 - Kenya managed to amass 23 medals, 12 gold, 5 silver and 6 bronze medals to top the chart in the six nation championship