Sola mama: Mafundi wanawake wa sola Zanzibar

  • | BBC Swahili
    572 views
    Si kawaida kumuona mama wa makamu juu ya paa la nyumba akijishugulisha na ufundi tena akiwa amevaa Hijabu, lakini kwa Fatma Haji Juma kwake ni Fahari. Ni miongoni mwa wanawake kwanza mafundi wa umeme jua kisiwani Zanzibar, wanaojulikana kama solar Mamas. Alipata ujuzi kutoka nchini India baada ya kupewa mafunzo na taasisi ya Barefoot na sasa anatumia ujuzi huo kuwafundisha wanawake wengine. Mwandishi wa BBC , Esther Namuhisa alikutana naye na kutuandalia taarifa hii. 🎥: @eagansalla_gifted_sounds 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #zanzibar #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw