Ugonjwa wa Kimeta wawaacha zaidi ya wakazi 180 wa Murang'a wakitibiwa katika hospitali mbalimbali

  • | KBC Video
    49 views

    Kwa muda wa siku 14 zijazo, hakuna mifugo, nyama wala maziwa itakayoruhusiwa kuingia wala kutoka katika wadi ya Kahumbu eneo bunge la Kigumo Kaunti ya Murang’a. Haya yanajiri kufuatia mchipuko wa ugonjwa wa Kimeta ambao umewaacha zaidi ya wakazi 180 wakitibiwa katika hospitali mbalimbali. Mkazi mmoja bado amelazwa baada ya kula nyama kutoka kwa ng'ombe aliyeambukizwa. Nyama hiyo inasemekana kukaguliwa na Daktari wa mifugo ambaye amebainishwa kuwa tapeli.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive