Hospitali za Kenyatta na Moi zaongoza kwa maafisa wenye vyeti bandia

  • | KBC Video
    62 views

    Tume ya utumishi wa umma imetahadharisha kwamba wafanyakazi wengi walioajiriwa katika hospitali kuu ya Kenyatta katika kipindi cha miaka kumi iliyopita walitumia stakabadhi ghushi kupata kazi. Akiongea wakati alipotoa ripoti kuhusu ukaguzi wa vyeti vya masomo vya maafisa walioajiriwa kupitia tume hiyo katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, mwenyekiti Anthony Muchiri alisema visa zaidi ya 2,000 vya stakabadhi ghushi vimebainishwa kutumiwa kupata ajira. Tume hiyo inapendekeza kwamba idara ya uchunguzi wa jinai iwachukulie hatua wahusika wa ulaghai huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive