Siku ya redio duniani yaadhimishwa

  • | KBC Video
    19 views

    Uendelevu wa redio uliangaziwa zaidi huku Wakenya wakiungana na jamii ya kimataifa katika maadhimisho ya siku ya Redio duniani leo. Wadau hata hivyo walihusisha ustawi katika utangazaji wa redio na teknolojia ya kidijitali ambayo imefanya idadi kubwa ya wasikilizaji kupata habari kwa njia bora ikiwemo kutoka nyumbani kwao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive