Wakenya wahimizwa kutumia dawa zinazotengezwa humu nchini

  • | KBC Video
    58 views

    Waziri wa afya Susan Nakhumicha ametoa changamoto kwa watafiti hapa nchini wabuni njia ambazo zitaimarisha utengenezaji na utumiaji wa bidhaa za matibabu humu nchini. Waziri huyo amesema nchi hii inaweza kuokoa hadi shilingi bilioni 550 zinazotumika kila mwaka kuagiza bidhaa za matibabu huku wakenya wakitumia asilimia 20 pekee ya bidhaa zinazotengenezwa humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive