Tina Rahimi anaandika historia kwa kuiwakilisha Australia katika michezo ya Olimpiki akiwa amevaa hijab.
Bondia huyo alizaliwa na wazazi Wairan na alianza kufanya kazi ya kupaka watu vipodozi kabla ya kuingia katika ndondi kama kujifurahisha tu.
Lakini sasa anajiandaa kuiwakilisha nchi yake katika michezo ya Olimpiki huko Paris
#bbcswahili #olimpik #hijab
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Health Cabinet Secretary (CS) Aden Duale has announced plans to set up a joint committee with the CEOs of insurance companies across the country to tackle fraudulent activities that have been plaguing the Social Health Authority (SHA).
18 Aug 2025
- President William Ruto has vowed to ensure that Members of Parliament and Senators behind an extortion scheme called soko huru are apprehended.
18 Aug 2025
- The death toll from a blast at a gunpowder plant near Moscow rose to 20, with more than 100 wounded, the authorities said on Monday, as a probe began into possible industrial safety violations.