Skip to main content
Skip to main content

Zoezi la usajili wa wapigakura wapya limeanza Kajiado

  • | Citizen TV
    413 views
    Duration: 6:35
    Tume huru ya Uchaguzi na mipaka IEBC inazindua rasmi zoezi la kuwasajili wapiga kura wapya kote nchini. Halfa hiyo inafanyika katika eneo la Mashuuru, kaunti ya Kajiado ambapo itaongozwa na mwenyekiti wa IEBC Erustus Ethekon na makamishana wa tume hiyo. Sasa tuungane na Robert Masai kutoka huko Mashuuru kaunti ya Kajiado atufahamishe yanayojiri.