Skip to main content
Skip to main content

Muungano wa vijana Mombasa wahimiza wenzao wajisajili kura

  • | Citizen TV
    303 views
    Duration: 2:12
    Baadhi ya makundi ya vijana kaunti ya Mombasa yameanzisha kampeni ya kutoa hamasisho kwa vijana kujitokeza kwa wingi na kujisajili kuwa wapiga kura. Wakizungumza wakati wa uzinduzi wa hamasisho hilo huko nyali mombasa vijana hao wamelalama kuwa kwa muda mrefu wanasiasa wamekuwa wakiwatumia vibaya na kuwapa kisogo baada ya uchaguzi.