Skip to main content
Skip to main content

Walimu wa sekondari msingi washinikiza shule hizo zijisimamie

  • | Citizen TV
    414 views
    Duration: 5:30
    Walimu wa Shule za sekondari msingi JSS katika Kaunti ya Lamu wamelalamikia mazingira magumu ya kufanyia kazi, huku wakiitaka Serikali kuajiri walimu zaidi. Haya yanajiri huku walimu wa JSS katika kaunti mbalimblali wakiendelea kushinikiza kuwa shule hizo zijisimamie badala ya kuwa chini ya shule za msingi. Kulingana nao, hatua hiyo itaboresha mazingira ya kufundishia na kuhakikisha wanafunzi wanapata huduma bora bila changamoto zinazotokana na migongano ya usimamizi.