Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Kakamega akosoa matamshi ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta

  • | Citizen TV
    1,542 views
    Duration: 54s
    Gavana wa Kakamega, Fernandes Barasa, amepuuza matamshi ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwamba serikali ya kenya kwanza inaporomosha mafanikio yaliyopatikana wakati wa utawala wake. Akizungumza katika Kanisa Katoliki la Bumamu huko Navakholo, Barasa alisema kwamba Kaunti ya Kakamega haikufaidika na miradi yoyote mikubwa chini ya utawala wa Uhuru.