Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Taita Taveta wahamasishwa namna ya kupiga ripoti KWS kuhusu uharibifu wa wanyamapori

  • | Citizen TV
    236 views
    Duration: 1:46
    Wakazi kaunti ya Taita Taveta wameanza kuelimishwa namna ya kuripoti visa vya wanyamapori kuharibu mimea kwa shirika la kulinda na kuhifadhi wanyamapori Kws ili wapate fidia. Miongoni mwa maeneo ambayo mizozo ya wanyamapori imekuwa ikishuhudiwa zaidi ni Kamtonga,Maktau na Bura. Kulingana na wanaharakati wa kijamii kutoka eneo bunge la Mwatate wanalenga kuhamasisha umma katika maeneo yote yalioathirika kaunti ya taita taveta.