Skip to main content
Skip to main content

Zoezi la usajili wa wapigakura wapya limeanza Kajiado

  • | Citizen TV
    1,307 views
    Duration: 6:20
    Tume huru ya Uchaguzi na mipaka IEBC inazindua rasmi zoezi la kuwasajili wapiga kura wapya kote nchini. Halfa hiyo inafanyika katika eneo la Mashuuru, kaunti ya Kajiado ambapo itaongozwa na mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon na makamishna wa tume hiyo. Robert Masai yuko huko Mashuuru kaunti ya Kajiado na sasa anaungana nasi mubashara na mengi zaidi.