- 2,817 viewsDuration: 3:43Hali ya taharuki bado imetanda katika eneo la Kainuk mpakani mwa kaunti za Pokot Magharibi na Turkana, baada ya askari wa akiba kuuliwa na bunduki yake kuibwa, huku mwanaume mwingine wa makamu kuuawa baada ya kufyatuliwa risasi mwisho wa juma lililopita. Na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel,waliouawa walikuwa katika shughuli ya kuzoa mchanga kando kando ya mto Mali malite hapo Kainuk