- 796 viewsDuration: 2:24Jamii ya Wapokot imetakiwa kutumia mbinu za kisasa kuzalisha vyakula ili kutumia vyema ardhi ndogo yenye rutuba inayopatikana katika Kaunti ya Pokot Magharibi. Hatua ambayo inanuia kusaidia kukabiliana na uhaba wa chakula unaolikumba eneo hilo.