Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Mbooni wahimizwa kuhifadhi msitu wa Kivale

  • | Citizen TV
    729 views
    Duration: 2:51
    Serikali ya kaunti ya Makueni iliandaa hafla ya kuadhimisha siku ya utalii katika msitu wa Kivale eneo bunge la Mbooni. wakazi wa kaunti hiyo wametakiwa kuendelea kuhifadhi misitu na kupanda miti kwa wingi na hususan katika milima iliyoko kwenye kaunti hiyo katika harakati za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.