- 63 viewsTimu za Simba na Yanga zinarudi tena uwanjani Ijumaa na Jumamosi kuendeleza safari ya kutafuta tiketi ya kucheza robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika, watani hao wa jadi kila kila mmoja bado ana nafasi kufuzu huku mechi zitakazochezwa wikiendi hii zikitarajiwa kutoa uelekeo wa ufaulu wao. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Simba na Yanga kurudi Uwanjani
- 8 May 2024 - Embattled Cabinet Secretary (CS) for Agriculture Mithika Linturi has noted that he will continue to diligently serve Kenyans under his assigned docket despite a case seeking to impeach him.
- 8 May 2024 - Embattled Cabinet Secretary for Agriculture Mithika Linturi has been accused of trivialising a matter of national importance by tying his marital affairs to the ongoing push for his impeachment.
- 8 May 2024 - Friday, May 10, has been gazetted as a public holiday to mark the National Tree Growing Day.
- 8 May 2024 - President William Ruto has now directed that all schools be reopened on Monday, May 13, 2024.
- 8 May 2024 - Stormy Daniels, the porn star at the heart of Donald Trump's historic criminal trial, testified Tuesday -– in sometimes explicit detail –- about an alleged 2006 sexual encounter with the former president in a hotel penthouse suite.
- 8 May 2024 - The 12 Malawians were among over 40 foreign workers who were arrested in Tel Aviv last week.
- 8 May 2024 - UDA Chairperson Antony Mwaura said, in a statement on Wednesday, the positions are open in all wards in Nairobi, Narok, West Pokot, Homabay, and Busia counties.
- 8 May 2024 - Let’s not even get to the demolitions happening in Mukuru kwa Njenga.
- 8 May 2024 - NAIROBI, Kenya, May 8 – The Anti-Counterfeit Authority (ACA) has said it is committed to helping small traders fight counterfeits that hurt genuine businesses. The authority’s Executive Director Robi Njoroge called on small traders to be vigilant against…
- 8 May 2024 - Kenya's climate finance needs span energy, agriculture, water and forestry.