Gavana wa Jimbo la Kivu Kaskazini atembelea maeneo yaliyoshambuliwa na waasi
Meja Jenerali Peter Cirimwami ambaye pia ni Gavana wa jimbo la Kivu Kaskazini huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo siku ya Alhamisi ametembelea maeneo ambayo yanashambuliwa na waasi wa M23. Pia alifanya tathmini kwenye maeneo ya makazi ya raia yenye idadi kubwa ya watu.
Makazi hayo yako mjini karibu na mji wa Goma na eneo la Sake kiasi cha kilometa 25 magharibi mwa Goma.
Gavana Cirimwani alifuatana na Kamati ya Usalama ya jimbo la Kivu Kaskazini. Meja Jenerali Cirimwami baadaye alitembelea kambi mbalimbali za wakimbizi zilizopo maeneo ambapo yanaendelea kukumbwa na mapigano.
Ripoti hii maalum imeandaliwa na mwandishi wetu wa Goma Austere Malivika.
#goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili
5 Jul 2025
- Doctors have credited the 'folds' with playing a crucial role in one's hearing.
5 Jul 2025
- Gachagua said this during her aunt's burial ceremony.
5 Jul 2025
- ODM was responding to The Standard Media's 'Raila's Turf Rebels' article.
6 Jul 2025
- Japan's government on Saturday warned of more possible strong earthquakes in waters southwest of its main islands, but urged the public not to believe unfounded manga comic-book predictions of a major disaster.
6 Jul 2025
- Traders affected by the recent demonstrations held in honour of victims of last year’s anti-Finance Bill protests are now struggling to rebuild their lives and livelihoods.
6 Jul 2025
- Deputy President Kithure Kindiki and other leaders backing the broad-based government have intensified attacks on the opposition, calling for unity to heal the nation.
6 Jul 2025
- The High Commission of Rwanda in Kenya has marked 31 years of liberation — a commemoration of the country’s remarkable transformation, from a painful past under an oppressive regime to a future defined by unity, progress, and resilience.
6 Jul 2025
- Mr President you risk bringing idolatry in church, State House
6 Jul 2025
- Kenya today: An angry nation sliding towards self-destruction
6 Jul 2025
- 35 years later, Saba Saba continues: Meeting of different generations, same script
6 Jul 2025
- Parliament's CDF coup: The Senate should halt this constitutional heist
6 Jul 2025
- Opposition leaders slam Ruto over state house church plans
6 Jul 2025
- Saba Saba's long harvest and why struggle is never wasted