- 19,488 viewsDuration: 3:11Familia moja kaunti ya Murang'a inaomboleza vifo vya watu 14 waliopata ajali ya barabarani hapo jana katika eneo la Kikopey kaunti ya Nakuru. Waliofariki kwenye familia hii ni pamoja na wazazi, wajukuu na wajomba waliokuwa safarini kuwatembea jamaa zao wagonjwa. jamaa wengine watatu wa familia hii wakiendelea kutibiwa hospitalini.