Skip to main content
Skip to main content

Museveni VS Bobi: kampeini za uchaguzi mkuu zaanza rasmi Uganda, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    15,009 views
    Duration: 28:11
    Kampeni za kuwania urais zimeanza rasmi nchini Uganda huku wagombea wanane akiwemo Rais Yoweri Museveni wakitarajiwa kuchuana katika uchaguzi mkuu wa mwakani. Leo baadhi ya vyama vimezindua sera zao kwa wapiga kura. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw