29 Sep 2025 7:42 pm | Citizen TV 475 views Duration: 1:20 Mshukiwa katika kesi ya shambulizi dhidi ya mwanamke wa miaka 22 amefikishwa mahakamani hii leo lakini ataendelea kuzuiliwa hadi kesho kusubiri kusikilizwa kwa ombi la dhamana lililowasilishwa na wakili wake