Skip to main content
Skip to main content

Hospitali ya Mater yaamriwa kuwachilia maiti baada ya miezi miwili ya kizuizi kutokana na deni

  • | Citizen TV
    3,144 views
    Duration: 2:06
    Mahakama kuu hapa Nairobi leo imetoa uamuzi kuamuru hospitali ya Mater kuwachilia maiti ya mwanamke mmoja aliyekuwa amezuiliwa kwa miezi miwili kutokana na deni la zaidi ya shilingi milioni tatu. Jaji Nixon Sifuna kwenye uamuzi wake akisema kuwa kuzuia maiti kwa sababu ya deni ni ukiukaji wa haki na kutesa familia