Skip to main content
Skip to main content

Magavana waishinikiza serikali kutoa mgao wa fedha za Septemba, walaumu mfumo wa mgao wa kidijitali

  • | Citizen TV
    449 views
    Duration: 2:30
    Magavana sasa wanaitaka serikali kuu kuwapa mgao wao wa fedha wa mwezi Septemba pamoja na pesa nyingine ambazo hawajapokea hadi sasa. Magavana hawa aidha wametetea msimamo wao kuhusu ununuzi wa kidijitali wakisema mfumo huo umefeli na sasa kaunti zimekwama tangu uanzishwe miezi mitatu iliyopita. Sasa wanasema huenda huduma katika kaunti zikakwama