Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi katika shule ya Litein waliorejea shuleni waregeshwa tena nyumbani

  • | Citizen TV
    3,796 views
    Duration: 1:44
    Wanafunzi wa shule ya upili ya Litein kwa mara nyingine tena wamerejeshwa nyumbani baada ya kuonyesha ishara ya kuleta vurugu walipogundua kuwa mwalimu mkuu wa shule hiyo bado yupo. ‎