Skip to main content
Skip to main content

Polisi mjini Chuka wachunguza kiini cha kifo ndani ya gari kaunti ya Tharaka Nithi

  • | Citizen TV
    336 views
    Duration: 1:45
    Polisi katika mji wa Chuka, Kaunti ya Tharaka Nithi, wamepata mwili wa mwanamume mwenye umri wa miaka 29 aliyepatikana amefariki ndani ya gari lake binafsi lililokuwa limefungwa na kuegeshwa karibu na jengo la benki ya KCB.