30 Sep 2025 10:20 am | Citizen TV 5,800 views Duration: 1:15 China na Kenya zimethibitisha tena uhusiano wao wa kidiplomasia na kiuchumi unaoendelea kuimarika, wakati Beijing ikiadhimisha miaka 76 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya raia wa China.