30 Sep 2025 10:27 am | Citizen TV 345 views Duration: 2:07 Washikadau wanaopigania masuala ya watoto kuozwa au kupachikwa mimba mapema katika Kaunti ya Kajiado wamefanya kongamano la pamoja kujadili mustakabali wa watoto, hususan wa kike.