Skip to main content
Skip to main content

Waislamu wamshutumu afisa wa mashtaka ya umma kwa mapuuza Bungoma

  • | Citizen TV
    547 views
    Duration: 1:42
    Kizaazaa kilizuka nje ya afisi ya mashtaka ya umma ODPP mjini bungoma baada ya waumini wa dini ya kiislamu kuandamana wakimtaka mkuu wa afisi hiyo kuondolewa afisini kwa madai ya ufisadi na kuhujumu haki kwenye uchunguzi wa kesi zinazowasilishwa kwake.