- 181 viewsDuration: 1:57Huku tume huru ya uchaguzi na mipaka ikianza rasmi zoezi la kuwasajili wapiga kura wapya million 6.3 kote nchini, vijana wamehimizwa kutumia fursa hiyo kujisajili kama wapiga kura ili wawe na sauti kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027.