- 902 viewsDuration: 7:04Zoezi la usajili wa wapiga kura wapya limeingia siku ya pili hii leo. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi iebc amekuwa akiwarai vijana kujitokeza na kujisajili ili kushiriki uchaguzi wa mwaka 2027. Mwandishi wetu francis mtalaki anajiunga mbashara kutoka mombasa anakofuatilia zoezi hilo.