30 Sep 2025 11:40 am | Citizen TV 325 views Duration: 25:49 Walimu wazua tetesi kuhusu usimamizi wa sekondari msingi Walimu wataka watengwe na walimu wengine shuleni Walimu wa JS wanadai muongozo shuleni unayumbisha CBE Mtafaruku unaendelea kuathiri masomo ya wanafunzi