30 Sep 2025 12:06 pm | Citizen TV 320 views Duration: 25:09 Walimu wazua tetesi kuhusu usimamizi wa sekondari msingi Walimu wataka watengwe na walimu wengine shuleni Walimu wa JS wanadai muongozo shuleni unayumbisha CBE Mtafaruku unaendelea kuathiri masomo ya wanafunzi