Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Lamu waandamana wakilalamikia utovu wa usalama

  • | Citizen TV
    213 views
    Duration: 1:59
    Wakazi wa Lamu, wakishirikiana na mashirika ya kijami, wamefanya maandamano ya amani wakishinikiza serikali kueleza alipo Mohammed Obo, mwanamume mwenye umri wa miaka 41 aliyetekwa nyara majuma mawili yaliyopita eneo la kiunga.