30 Sep 2025 1:06 pm | Citizen TV 135 views Duration: 1:42 Siku ya pili ya zoezi la usajili wa wapiga kura wapya limeshuhudia idadi ndogo ya wakaazi waliojitokeza kufikia katika vituo mbalimbali jijini Mombasa.