Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yamnyima dhamana OCS wa kituo cha Central kuhusikana na Kesi ya mwanablogu Ojwang'

  • | Citizen TV
    5,266 views
    Duration: 46s
    Mahakama ya Kibera imewanyima washukiwa sita dhamana akiwemo mshukiwa mkuu Samson Talaam aliyekuwa OCS katika kituo cha polisi cha Central kwenye kesi ya mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang'