Skip to main content
Skip to main content

Upasuaji wa kipekee wafanyika katika hospitali ya Machakos level 5

  • | Citizen TV
    5,736 views
    Duration: 3:12
    Hospitali ya Machakos level 5 imeingia kwenye madaftari ya kumbukumbu kwa kufaulu kufanya upasuaji wa mishipa ya damu iliyofura na kupindapinda inayoitwa kwa kiingereza vericose veins kupitia teknolojia mpya. Madaktari wataalamu wa upasuaji walitumia mbinu ya miale ya kuyeyusha kwa kiingereza laser ablation kwa mara ya kwanza katika hospitali hiyo.