- 283 viewsDuration: 3:57Ongezeko la vifo vya akina mama vinavyosababishwa na uvujaji wa damu wakati wa kujifungua vimeongezeka mno katika kaunti ya Kajiado. Hali hii iliwachochea washikadau wa sekta ya afya kuandaa matembezi na mbio za kuhamasisha jamii kuhakikisha wanawake wanajifungulia hospitalini kwa usalama zaidi.