Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wataka ujenzi wa kituo cha polisi Katumba ukamilishwe ili kuimarisha usalama

  • | Citizen TV
    133 views
    Duration: 1:19
    Wakazi wa maeneo ya nguni kata ndogo ya mwingi mashariki waitaka serikali kukamilisha ujenzi wa kituo cha polisi cha Katumba ili kuimarisha usalama.