- 34 viewsWatu milioni tano nchini Sudan wanakabiliwa na viwango vya kutisha vya njaa, huku mzozo ukidumaza usambazaji wa misaada na majiko yaliyoundwa na watu wa kujitolea kusaidia wanaoitaji chakula yakilazimika kufunga. Katika mji mkuu wa Sudan, ma elfu ya watu wanakabiliwa na changamoto ya kila siku kupata chakula huku majiko ya pamoja wanayotegemea yakiwa katika hatari ya kukosa misaada, na mawasiliano yakiwa yemekatwa katika maeneo kadhaa ya nchi wiki za hivi karibuni #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Watu millioni tano Sudan wakabiliwa na janga la njaa
- - Mzee aishi Pangoni ››
- 12 Aug 2025 - Douglas Kamau says he narrowly escaped death when a bullet struck his arm and ribs, allegedly fired by a police officer from Makutano Police Station.
- 12 Aug 2025 - Naivasha Senior Resident Magistrate Wilson Rading on Monday recused himself from hearing the case against 73-year-old farmer Francis Muya, who is accused of plotting to kill five members of his family.
- 12 Aug 2025 - While Chirchir is of the opinion that road crashes are “preventable if all road users play their part” the Motorists Association of Kenya (MAK) has placed blame on government agencies.
- 12 Aug 2025 - The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has 9 governors on its radar over corruption cases as it intensifies its crackdown on nationwide graft.
- 12 Aug 2025 - Prosecutors in the Ivory Coast said Monday they have charged 11 people, including members of the opposition party of ex-president Laurent Gbagbo, with alleged "terrorist" offences linked to unrest earlier this month.
- 12 Aug 2025 - Authorities in Taiwan were scrambling on Tuesday to evacuate hundreds ahead of a possible landfall by Typhoon Podul on the island's southeastern coast, while nearby areas battle to recover from floods and record winds brought by previous storms.
- 12 Aug 2025 - Hundreds of cabin crew members took their fight to major Canadian airports on Monday, picketing against unpaid labor, as talks on wages intensify between Air Canada AC.TO and its flight attendants this week ahead of a possible strike.
- 12 Aug 2025 - The new taxes will impact prices of goods and services.
- 12 Aug 2025 - Nearly 50 Kenyans have lost their lives in road accidents in the last two weeks.
- 12 Aug 2025 - The man walked into his second wife's home and never left.