Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke bomba | Nyambura awasaidia wazee kwa chakula na malazi

  • | Citizen TV
    479 views
    Duration: 4:14
    Licha ya kuongoza waumini katika ibada na maombi kanisani huko mwiki, Agnes Nyambura Wainaina amekuwa mkombozi wa wazee haswa waliotelekezwa na jamaa zao katika mtaa wa dandora hapa Nairobi. Ni shughuli anayoifanya kwa takriban miaka minne sasa huku wazee hao wakipata matumaini ya kuishi nyema kila siku kupitia huduma anazowapa kama vile matibabu, chakula na hata kuwalipia kodi ya nyumba baadhi yao