30 Sep 2025 8:02 pm | Citizen TV 244 views Duration: 1:28 Timu ya kandanda ya KCB FC imerejea kwenye ushindi katika ligi kuu ya taifa ya kandanda baada ya kuwafunga Kariobangi Sharks bao 1-0 katika mechi pekee ya ligi jumatatu alasiri.