30 Sep 2025 7:53 pm | Citizen TV 1,816 views Duration: 1:50 Familia, marafiki na viongozi mbalimbali wamemkumbuka waziri wa zamani marehemu Dalmas Otieno kama kiongozi aliyejitolea kutetea haki za wakenya na kuleta mabadiliko alipohudumu kama waziri