- 171 viewsHali ya kisiasa nchini Haiti bado ni tete siku moja baada ya waziri mkuu Ariel Henry, kusema kwamba anajiuzulu baada ya kuundwa baraza la mpito la uongozi, ingawa wakuu wa magenge ya uhalifu wanasisitiza kuhusishwa kwenye mipango yeyote ya kuunda serikali ya mpito. Henri alikubali kujiuzulu Jumatatu wakati wa mkutano wa dharura wa Jumuia ya mataifa ya Caribean CARICOM, nchini Jamaica, ambako waziri wa mambo ya nje wa Marekani aliahidi msaada wa ziada wa zaidi ya dola milioni 100 kuwezesha kupelekwa kikosi cha kimataifa nchini humo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Hali ya kisiasa Haiti yaendelea kuwa tete
- 16 May 2024 - Singapore on Wednesday swore in Lawrence Wong as its new prime minister Wednesday, replacing Lee Hsien Loong following two decades in office, with the new leader warning that the trade-dependent city-state faced a riskier, more conflict-ridden world.
- 16 May 2024 - United States Ambassador to Kenya Meg Whitman has dismissed claims that she is among President William Ruto’s chief advisors.
- 16 May 2024 - Slovak Prime Minister Robert Fico suffered life-threatening injuries on Wednesday when he was shot and wounded in an attempted assassination that stunned his small Central European nation and drew a chorus of international condemnation.
- 16 May 2024 - U.S. Ambassador to Kenya Meg Whitman has seemingly expressed reservations about President William Ruto's plan to increase Kenya's tax rate from 14 percent to 22 percent by the end of his term.
- 16 May 2024 - Reading Time: < 1 minute The Council of East and Central Africa Football A*sociations (CECAFA) Kagame Cup wi*l return with guest teams set to s**ce […]
- 16 May 2024 - Reading Time: < 1 minute Former Football Kenya Federation (FKF) president Sam Nyamweya believes that national team Harambee Stars wi*l be disadvantaged following the decision […]
- 16 May 2024 - Reading Time: 2 minutes The Football Kenya Federation has waved gate charges for the crucial Junior Starlets’ FIFA Women U17 World Cup Qualifiers against […]
- 16 May 2024 - Inside Ruto-doctors' agreement to rescue an ailing healthcare sector
- 16 May 2024 - Shakahola: Kin of victims reluctant to collect bodies, seek therapy to reach closure
- 16 May 2024 - We'll not charge ships more for waste -KMA