- 88 viewsNchi za Afrika Magharibi zinashinikiza kujengwa kwa mtandao wa barabara kuu zinazounganisha nchi tano kutoka Ivory Coast hadi Nigeria. Benki ya Maendeleo ya Afrika inasema mradi huo utakuwa ni kichocheo cha uchumi kwa nchi zote husika. Senanu Tord anaripoti kutoka Accra, Ghana. Nii Annan Ofori ni kiongozi wa kijadi na msimamizi wa ardhi katika eneo la kitamaduni la Ga East nje kidogo ya mji mkuu wa Ghana, Accra. Jamii yake imechaguliwa kunufaika na sehemu ya ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 1028 inayoanzia Abidjan hadi Lagos. Barabara ya chini ya ardhi yenye urefu wa kilomita tatu itapita katika eneo la jamii hii. Mpango huu unaangazia siku za usoni kuiunganisha barabara hii na nchi nyingine, ili kuwa na mtandao mpana katika bara hilo lenye barabara kuu 9 zinazoanzia Cairo hadi Cape Town na kutoka Dakar hadi Djibouti. Hatua ijayo, kulingana na Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi, ni kuiunganisha Dakar hadi eneo la Abidjan na Lagos. - VOA Senanu Tord, VOA News, Accra Ghana #SenanuTord, #VOANews, #Accra #Ghana #afrikamagharibi #ADB #niiannanofori #kiongozi #jadi
Mpango wa Barabara Kuu Utaunganisha nchi 5 Afrika
- - Duniani Leo ››
- 16 May 2024 - The Office of the Director General for Health in a letter to public county health officers and copied to the Kenya Bureau of Standard says the Sherehe GSM maize flour is unfit for human consumption.
- 16 May 2024 - Nineteen people have been detained at Siaya Police Station following their arrest at a chang’aa den on charges of being drunk and disorderly.
- 16 May 2024 - A middle-aged man was on Wednesday evening electrocuted to death in the Ulanda area of Awendo, Migori County.
- 16 May 2024 - A 22-year-old man on Thursday morning escaped death by a whisker after his house burnt in a suspected arson incident at Abom village in Bondo, Siaya County.
- 16 May 2024 - Nigeria's headline consumer inflation accelerated to a new 28-year high in April, hitting 33.69% year-on-year, up from 33.20% in March, statistics agency data showed on Wednesday.
- 16 May 2024 - The determination exposes Boeing to a potential criminal prosecution.
- 16 May 2024 - Biden aides think debates could hurt Trump by exposing his positions on key issues.
- 16 May 2024 - Reading Time: 2 minutes Kenya’s tea should be branded to increase its visibility in the g****l market so as to help fetch the best […]
- 16 May 2024 - Ambassador Meg said the meeting would be good for engagements between the two countries
- 16 May 2024 - Dozens of countries sign up for Ukraine peace summit, Switzerland says