- 125 viewsGharama ya matibabu ya figo na uhaba wa vituo vya kufanya vipimo ni changamoto kubwa kwa wagonjwa wa figo kupata tiba nchini kenya kama ilivyo katika mataifa mengi barani afrika. Takwimu za wizara ya afya zimebaini kuwa takriban zaidi ya watu milioni tano wanamatatizo ya figo nchini Kenya huku vifo vikikadiriwa kufikia 4000 kwa mujibu wa shirika la Afya dunaini. Na hinyo serikali inaendela kuhamasisha wananchi kupima mapema ili kubaini ugonjwa huu kabla haujaathiri figo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Gharama za matibabu Kenya ni changamoto kwa wagonjwa wa figo
- 17 May 2024 - Children up to the age of 18 at schools in England will not be taught gender identity under government proposals published Thursday, amid growing concern in the UK and elsewhere about transgender issues.
- 17 May 2024 - The Palestinian government has not received the financial support it had expected from international and regional partners, President Mahmoud Abbas said at an Arab League summit on Thursday.
- 17 May 2024 - Families huddled near the line of small coffins in eastern Democratic Republic of Congo, all mourning the children and others killed in a rocket attack, many shouting out accusations against the rebels they said launched the assault.
- » ‘Don’t go home angry, pesa iko!’ CS Kuria tells attendees of Limuru III, claims meeting is sponsored17 May 2024 - Public Service Cabinet Secretary Moses Kuria has disclosed that the oncoming Limuru III conference slated for tomorrow has shadow sponsors who may be willing to splash money on the attendants.
- 17 May 2024 - During an interview with Citizen TV on Thursday evening, Kimani emphasized the importance of adequately funding the constitutional office of the Deputy President so that it can carry out its mandate.
- 17 May 2024 - The Beyond Zero Initiative once again demonstrated its unwavering commitment to humanitarian aid by donating essential items to victims of the recent heavy rains and floods in Mathare, Nairobi County.
- 17 May 2024 - A budget estimate presented by the Controller of State House Katoo Ole Metito shows extravagance in government spending at a time when Kenyans are furious with the continued tax burden contained in the Finance Bill 2024.
- 17 May 2024 - Tax experts have expressed outrage over what they termed as retrogressive tax proposals contained in the Finance Bill 2024.
- 17 May 2024 - Kenya, Uganda to extend oil pipeline from Eldoret to Kampala
- 17 May 2024 - State banks on national database to curb fake certificates crisis