- 650 viewsWaziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry alitangaza kwamba angejiuzulu, siku moja baada ya Marekani kuahidi msaada mwingine wa dola milioni 100, kwa kikosi cha usalama cha kimataifa kinachoungwa mkono na Umoja wa Mataifa, kilichonuiwa kusaidia polisi wa Haiti, katika kupambana na magenge, ikiwa ni sambamba na dola milioni 33 za misaada ya kibinadamu. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Marekani yaahidi kuongeza msaada wakati Haiti inakabiliana na mgogoro wa ndani
- 16 May 2024 - Kirinyaga Governor Anne Waiguru has told off a section of Mt Kenya leaders over the oncoming event dubbed the Limuru III Conference which is slated for this Friday.
- 16 May 2024 - Nairobi residents have been urged to exercise caution following the sighting of three lions roaming in Lang’ata.
- 16 May 2024 - Kenya and Uganda have signed a tripartite agreement allowing Uganda’s state oil firm to import her petroleum products through Kenya.
- 16 May 2024 - General Sumbeiywo spoke to the media at a Nairobi hotel after all stakeholders signed an agreement to participate in the mediation process. He emphasised the importance of embracing a spirit of compromise.
- 16 May 2024 - A suspected drug trafficker was on Thursday arrested with approximately 100 kilograms of bhang in Nakuru County.
- 16 May 2024 - Fifteen EU states have demanded a further tightening of the bloc's asylum policy, making it easier to transfer undocumented migrants to third countries, including when they are rescued at sea.
- 16 May 2024 - Flood-related f********s have hit 291 following two more deaths reported in the last 24 hours, Government Spokesperson Isaac Mwaura has announced. Mwaura says 75 p****e are missing, and 188 have been injured. Further, the ongoing floods have displaced…
- 16 May 2024 - In this Newsletter, we are covering Yoweri Museveni's first address alongside Ruto during his State Visit and the agreement they entered.
- 16 May 2024 - The mother's appeal to the public to raise Ksh143 million has only managed to obtain Ksh50,000.
- » 'Swahili is a gold coin': Museveni says East Africa not like EU which doesn’t have a common language16 May 2024 - Ugandan President Yoweri Museveni on Thursday challenged East Africans to utilise the shared Swahili language for economic prosperity.