- 50 viewsUkame, ardhi kugeuka jangwa, ukataji miti na mabadiliko ya hali ya hewa Kaskazini mwa Nigeria yamewalazimisha wafugaji kuhamia kusini wakitafuta maeneo ya malisho kwa mifugo. Harakati hii imepelekea hasara ya zaidi ya maisha elfu 60 kwa mujibu wa spika wa Baraza la Wawakilishi la Nigeria. Kuzungumzia suala hili, mradi wa kilimo na ufugaji ulizinduliwa huko Kano, na kuweka makazi, maeneo ya malisho na vituo vya ukusanyaji maziwa ili kuwazuia wafugaji kupambana na wakulima. Ibrahim Garba Mohammed ni mratibu wa mradi wa kilimo na ufugaji katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria la Kano. Mradi unajumuisha maeneo ya malisho na makazi ya wafugaji wa Fulani ambayo yamefadhiliwa na “Lives, livelihood Funds” LLF na ‘Benki ya Maendeleo ya Kiislamu.’ Lengo ni kutokomeza ghasia kote Nigeria. Ibrahim Garba Muhammad, Mratibu wa Mradi wa Kilimo na Ufufaji anaeleza: “Kuanzia sasa, tumewapatia chanjo zaidi ya mifugo milioni 3 katika jimbo hili. Kwa kuongezea, tumeweka maabara, ya kwanza ya aina yake kaskazini mwa Nigeria. Pia tumeandikisha wafanyakazi wa kijamii 220 kuangalia mifugo.” Kwa miongo mingi, wakulima na wafugaji wamejihusisha na mzozo. Wakulima wanawashutumu wafugaji kwa kuiba mazao yao, wakati wafugaji walijihusisha na mashambulizi ya kulipiza kisasi wakiwalaumu wakulima kwa kunyakua maeneo ya malisho. Kufanya mambo yawe mabaya zaidi, kuongezeka kwa hali ya ukavu, kaskazini mwa Nigeria, ukame na upanuzi wa ardhi ya kilimo kumepunguza ardhi ya malishi na kuchochea mizozo kwa kiasi fulani ya nchini Nigeria. Mshauri wa kilimo Bello Abba Yakasai anasema kwamba kuhakikisha usalama kwa maeneo la malisho kwa ajili ya wafugaji ni muhimu sana kwa uendelevu wao, hasa katika kupambana na tishio la wizi wa ng’ombe. #nigeria #mgogoro #ardhi #mifugo #mapigano #vita #serikali #voa #voaswahili #suluhisho Ripoti ya mwandishi wa VOA Alhassan Bala
Mafanikio ya mradi ili kuzuia migogoro ya wakulima na wafugaji
- - Mzee aishi Pangoni ››
- 12 Aug 2025 - Douglas Kamau says he narrowly escaped death when a bullet struck his arm and ribs, allegedly fired by a police officer from Makutano Police Station.
- 12 Aug 2025 - Naivasha Senior Resident Magistrate Wilson Rading on Monday recused himself from hearing the case against 73-year-old farmer Francis Muya, who is accused of plotting to kill five members of his family.
- 12 Aug 2025 - While Chirchir is of the opinion that road crashes are “preventable if all road users play their part” the Motorists Association of Kenya (MAK) has placed blame on government agencies.
- 12 Aug 2025 - The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has 9 governors on its radar over corruption cases as it intensifies its crackdown on nationwide graft.
- 12 Aug 2025 - Prosecutors in the Ivory Coast said Monday they have charged 11 people, including members of the opposition party of ex-president Laurent Gbagbo, with alleged "terrorist" offences linked to unrest earlier this month.
- 12 Aug 2025 - Authorities in Taiwan were scrambling on Tuesday to evacuate hundreds ahead of a possible landfall by Typhoon Podul on the island's southeastern coast, while nearby areas battle to recover from floods and record winds brought by previous storms.
- 12 Aug 2025 - Hundreds of cabin crew members took their fight to major Canadian airports on Monday, picketing against unpaid labor, as talks on wages intensify between Air Canada AC.TO and its flight attendants this week ahead of a possible strike.
- 12 Aug 2025 - Condemnations poured in from the United Nations, the EU and media rights groups Monday after an Israeli strike killed an Al Jazeera news team in Gaza, as Palestinians mourned the journalists and Israel accused one of them of being a Hamas militant.
- 12 Aug 2025 - Scientists have discovered the fossil of a tiny mouse-sized mammal that lived in the time of the dinosaurs in Chilean Patagonia.
- 12 Aug 2025 - Govt has announced privatisation plans for some of the biggest State companies.