- 10,154 viewsDuration: 6:54Mamlaka ya ujenzi wa barabara kuu nchini KENHA inafanya ukaguzi wa daraja la Jomvu pamoja na ujenzi wa barabara kuu ya Mombasa kwenda Jomvu hadi Mariakani. Barabara hiyo inatazamiwa kupunguza msongamano wa magari na kuinua biashara nchini