1 Oct 2025 10:21 am | Citizen TV 236 views Duration: 1:45 Kamanda wa Polisi wa eneo la Kaskazini Mashariki, Papita Ranka, amewahakikishia wakazi wa eneo hilo kuwa mchakato wa uajiri wa polisi unaotarajiwa kuanza hivi karibuni utakuwa huru na wa haki.